Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,200
- 2,603
Acha majivuno na kebehi, mara useme umeolewa na mzungu(aliyekuuliza nani?) mara useme waafrika hatujaelimika, wewe komaa na wazungu wako(wavumbuzi wa elimu nyingi ikiwemo na ile ya ushoga) tuache na wanawake wa kiafrika wapenda familia, wamchao Bwana, wajuao kutumia vyema tena kwa utii na heshima nafasi yao ya pili ktk familia. Viva African Ladies.Kwanza mwenyewe umeprove ulichosema ni uongo. Mwanaume ni wa kwanza kwenye Nini? Ujinga?
Imani, culture, malezi, elimu na utashi wa mtu ndo hum Shape mtu. Unajua mwenyewe ni vipi umekuja kushikilia huo UNANILIU wa mwanaume nafasi ya kwanza.
And I won't take that away from you.
Wala si wanaume wote wana mawazo kama yako, there are billions of men what makes you think wote wako kama wewe??? Si ningekuwa sista!
Jiongelee mwenyewe bro na waafrika wenzio labda.
Sijui unamaanisha Nini unaposema Feminism, watu wana mawazo hasi kupitiliza, kama huyo aliyesema feminism ni kukosea watu heshima, ambayo sijajua anamaanisha Nini.
Na haujajishtukia jinsi ulivyo MTU wa HOVYO? Kwanini hujaandika kupinga wanaume MALAYA?
nimeongelea furaha ya mwanamke umedismiss like nothing!! Kumbe furaha ya mwanamke si kitu?
HUO NDO MFUME DUME.
Ndo unakotaka kuturudisha huko, huko ambako wanawake ni wanyonge??
Huko ndo tunatoka ndomana ndoa kibao CHALI kwasababu ya wanaume WABINAFSI, WASIOJIHESHIMU wala KUJALI FAMILIA zao.
Familia imara ndo inatengenezwa na mwanaume MALAYA na mwanamke asiyefurahia maisha hayo?
Embu nielezee mwanamke anayechepuka anaharibuje familia na mwanaume MALAYA anajengaje?
Kwanza kwenye vitabu vya dini msingi wa talaka ni UZINZI.
na huwa mnashauri waume za wanawake wachepukaji wapige goti kusali na kuvumilia ili familia iwe imara?? AU NDO MUENDELEZO WS MFUMO DUME?
Familia itasimama tu kwani wangapi wanaishi hayo maisha Leo hii huku huku nje tunajua ni wana ndoa?
Mbona wanaume Malaya wa zamani walivumiliwa watu wakaishi tu? .
MBONA NYIE WANAUME HAMTAKI KUPRACTICE SIFA HII YA KIMUNGU YA UVUMILIVU?
Tusidanganyane na UIMARA!! huo uimara unapimwaje? Kama MTU yuko comfortable na umalaya wa mwenzako so be it, lakini sio kuwalazimisha wenzenu/kuwapa guilt conscience waishi hayo maisha kwa kuwadanganya watakuwa na familia imara. kwanza ndo itatuzalishia watoto Malaya kama baba zao.
Overall sikia brother, times have changed. It's all about mutual respect, individual rights, and happiness now. Anything against that is SIN.
Kila MTU atafute tu mwenzi mwenye viwango sawa na mtazamo sawa wa maisha ili mifarakano ipungue.
Mimi kwamfano nisingeweza kuolewa na muafrika, nisingekuwa na furaha KAMWE wala uwezo wa kumfurahisha MTU asiyeelimika kama wewe sina.
nilikuwa natoa mfano kuelezea, umekereka? poleee 😛Acha majivuno na kebehi, mara useme umeolewa na mzungu(aliyekuuliza nani?) mara useme waafrika hatujaelimika, .
Ni wasomi lakini nadhani hawajui madhara ya kugombana mbele ya watoto. Laiti wangejua na wangekuwa wanawajali hao watoto wasingefanya hivyo.
(SAMAHANI kwa gazeti ,maneno hayaniishi).
Kuna ndugu yangu ndoa ina miaka 15. Lakini kutwa analalamika mume wake anavyomnyanyasa (kupigwa na kutukanwa).
Yeye furaha yake ni kuwa kakaa kwenye ndoa miaka mingi...ni role model wetu..... Hahaha.
Kuna siku waligombana na mumewe nikiwepo. Ile scenario mpaka leo nikiikumbuka huwa siamini na hunipa hofu sana.
Mdada akaniambia hapo ilikuwa kawaida tu. Inakuwaga timbwili kweli kweli, mpaka watoto hujificha...mh
Ila haya mambo naona hutegemea na mtu pia. Kuna watu wastahimilivu sana.
Mbona hili bandiko lako limewasimanga wanawake tuuu as if wanajioa au wao ndio wenye makosa pekee yapelekeayo ndoa kuvunjika? Kuna wanawake walaa hawako hivyo ulivyowadescribe lkn ndoa ziliwafika kooni wakasepa.Mwanzo, mapenzi motomoto, mtaitana honey, baby na majina yote matamu, hatua ya pili ni kuheshimiana na hatua ya mwisho kuvumiliana. Halafu zamani wanawake walikuwa wanaolewa ili kutengeneza familia. Sasa hivi hilo halipo, wanaolewa kuondoa nuksi asije itwa Malaya, Alisha to a mkosi huo hanahaja na mwanaume kwani kama kulea watoto hilo wanaliweza. KUNAHAJA GANI YA KUFUGA NG'OMBE WAKATI UNAUWEZO WA KUNUNUA MAZIWA KILA SIKU? AU PALE UNAPO YAHITAJI MAZIWA UNAYAPATA KWA URAHISI? TECHNOLOJIA IMEWASHINDA WANAWAKE, UKIOMBA NAMBA YAKE NA AKATOA JUA AMELIWAAAAAA.
Jamani acheni uongo, hivi kweli kuna semina yoyote ya ndoa inayomwambia mwanamke kumpiga makofi mumewe?Ndo hvyo mkuu,hali ni mbaya.
Umeshasema ndoa ni hypocritical institution mimi na wewe hatuwezi kuzungumza chochote. I hope siku moja utaelewa nilichoandikaNaona kama unacheza na maneno tu. Mara usiingie ukitegemea kupata mapenzi tu Mara ukifanya hivi utapata mapenzi automatically.
Halafu na kwa comment zako za "kutoshindana na mwanaume ili familia iwe imara" ni kama umeshakubaliana na hali ya mwenzi asiye muamimifu, halafu hapo hapo unaniambia mke akifanya "majukumu" yake ataheshimiwa na kupendwa.
Inawezekana tuna definition tofauti za heshima na upendo.
Kuwa mzazi haindoi hitaji la kuwa na mpenzi. Ndo kwanza itabidi MTU ajitahidi kuplay role zote za mzazi na mpenzi wa MTU.
Hadi watoto wakikua nao watamani kuwa na couple kama baba na mama.
MTU anaye Downplay role ya mpenzi kisa watoto naona kama yalishamchujia kabaki kushikilia hilo alilo nalo tu la mzazi secretly hoping for a better love life.
Of course kila MTU anakuwa na expectations zake kwa mwenzake, na mwenzake asipo deliver inakuwa disappointing na penzi linaweza kuchuja.
Lakini kama mapenzi hamna, watu wabinafsi wasiojiheshimu wala kufanya effort kulirudisha waenda kukitembeza huko, mke unabaki kuwa house keeper, hata sidanganyiki.
Hata sio ndoa hii ni taasisi ya kukuza binadamu wachanga ambao nao watakuja kuadapt na kuendeleza this SAD PATHETIC lifestyle. Yale Yale marriage is a hypocritical institution.
HII HAIAPPLY KWA WATU WASIO NA TATIZO NA UKE WENZA.
People just want to be happy these days.
kama vipi couple ikubali kuwa in an open relatioship au waachane kila mtu atafute furaha yake sio mmoja kumuonea mwenzie (including any form of abuse.)
Na generation zitakazofuata watazoea hii lifestyle.
Children just need love and attention from their HAPPY parents whether living together or not.
I believe in marriage. not house keeping.Umeshasema ndoa ni hypocritical institution mimi na wewe hatuwezi kuzungumza chochote. I hope siku moja utaelewa nilichoandika
I was replying to that exactly. I could still see what you posted.Sorry that come out wrong never mind. The next post is what i wanted to say. Apologies
I think therefore, you are a Wise Woman. May God give you a good family(with no divorce), good husband(spiritual&responsible one), good job(as a gift to ur family and society), long living on earth(for spreading wise words to African Ladies), daily bread and peace which descends from above(GOD) and any other blessings. Amen.Umeshasema ndoa ni hypocritical institution mimi na wewe hatuwezi kuzungumza chochote. I hope siku moja utaelewa nilichoandika
Nashukuru sana mkuu. Dah Nimeingia humu nakutana na hii. Najaribu tu kusambaza na kushare nilivyofundishwa na wakubwa zangu.I think therefore, you are a Wise Woman. May God give you a good family(with no divorce), good husband(spiritual&responsible one), good job(as a gift to ur family and society), long living on earth(for spreading wise words to African Ladies), daily bread and peace which descends from above(GOD) and any other blessings. Amen.