Kulikoni mnafanya Msiba kama sherehe za kawaida?

Kulikoni mnafanya Msiba kama sherehe za kawaida?

Yaani mwezi uliopita ndiyo.niliona maajabu kumaliza msiba ile 40, eti wamechapisha kadi kabisa km ya harusi wanaomba mchango/ pesa tuuu.

Nilitaka kupeleka unga km mchango miye, nafika kule kuna T-shirt moja shilingi 20.Nikasema duuh kweli watu wa nafanya ujasilia Mali kwenye msiba.
 
Back
Top Bottom