Kulikoni mabinti?

Kulikoni mabinti?

Hivi ninyi aliyewaambia kuwa mabinti wanalilia kuolewa ni nani?
 
Mabint hulilia sana kuolewa.lakini wakiolewa tu vituko,mara anawasiliana na x wake mara migogoro kulikoni?

Nnachoamini wanawake huwa hawajui wanachokiitaji.
Utampa promic na kuzifulfil lakn bado utakuta anatapatapa kama fisi.
Amini msemo huu 'Mwalimu wa Mwanamke Ni Kipofu'
 
happily+married.jpg
 
hivi kuna sababu ya kulia na ndoa?kama ipo ipo tu....age z just a number tu....
 
wanawake wa mjin wanaolewa wakifikisha miaka 40 hivi




Mfanooooo vic kamata



Hahhahahahahahaaaaaa kula ujana uone kazi ya kumeza uzeee
 
wanaume kabla ya kuoa promises nyiiingi. ukishaingia ndani unakuta ana matatizo yote ya dunia i.e, mvivu, malaya, abusive, mkali kama pilipili, mchafu etc. na promises zote ni fake tu. sasa ukae hapo ili iweje!
 
Ndoa za kutoa mikosi hizo ndivyo zilivyo pole sana
 
nangoja pati 2 wanaume mnalilia nini papuchi au pesa maana mkikosa pesa majanga na mkikosa papuchi mwaweza hata kupindua nnchi
 
Aiseee....mi naonaga mnajilisha upepo tu

huo ndio ukweli sista, watu wanafunga Na kuomba ili ndoa ije...
yawezekana uliokewa ukiwa Na umri wa kawaida 23-27yrs, above hapo ni shida kwa wadada..
 
Back
Top Bottom