Yakikutokea wewe au Ndugu yako ndiyo itakuwa habariHii nayo ni Habari?
Haipingwi nani asiyependa maendeleo, nahisi hata nikisema nini hapa hutonielewa maana huna elimuKama kweli tunahitaji kuibadilisha Dar na kuwa mji wa kisasa nilazima tukubari hili kufanyika.
Hakuna namna mji huu umejengwa hovyo hovyo
Anaye pinga hatumii Akili anaangalia Leo siyo Kesho
Kama kweli tunahitaji kuibadilisha Dar na kuwa mji wa kisasa nilazima tukubari hili kufanyika.
Hakuna namna mji huu umejengwa hovyo hovyo
Anaye pinga hatumii Akili anaangalia Leo siyo Kesho
Yaani na bado sana hapa aiseeeMtamwelewa tu Lissu, alisema akitoka kwetu atakuja kwenu yako wapi, huu sio utawala wa mtanzania mwenzetu, na ndiyo bado
Ni taarifaHii nayo ni Habari?
Tena kwa upande wa ccm ndiyo kuna madudu mengi sana huko, yaana watamwelewa zaidi ya watanzania wengineYaani na bado sana hapa aiseee
Mimi naomba Mungu wazidi kukomeshana wenyewe kwa wenyeweTena kwa upande wa ccm ndiyo kuna madudu mengi sana huko, yaana watamwelewa zaidi ya watanzania wengine
Kama kweli tunahitaji kuibadilisha Dar na kuwa mji wa kisasa nilazima tukubari hili kufanyika.
Hakuna namna mji huu umejengwa hovyo hovyo
Anaye pinga hatumii Akili anaangalia Leo siyo Kesho