DEVUQUARTER-DEVUKOTA
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 352
- 117
wakuu mara kadhaa najaribu kuipitia link yetu pendwa ya http://kat.ph/ but naona ipo chali je washaifanyizia nini hawa kina Millah ?
wakuu mara kadhaa najaribu kuipitia link yetu pendwa ya http://kat.ph/ but naona ipo chali je washaifanyizia nini hawa kina Millah ?
unatumiaga kickass? mi mpenzi wa TPBhaifunguii torrents, mpaka ujaribu magnetic links, imenisumbua tangu juzi sijashusha chochote
wakuu mara kadhaa najaribu kuipitia link yetu pendwa ya http://kat.ph/ but naona ipo chali je washaifanyizia nini hawa kina Millah ?
haifunguii torrents, mpaka ujaribu magnetic links, imenisumbua tangu juzi sijashusha chochote
Shida yenu wakuu huwa hamtaki kusikiliza ushauri. Kuna jiwe linaitwa Tixati ni balaa kwa hayo mambo Lakini mbe hana nabhatebhya timukwigwa haiii.
unatumiaga kickass? mi mpenzi wa TPB
Mbona iko poa? Labda tatizo lipo kwako.
we nawe unafananisha jembe na bunduki hata havifanani.
Tixati ni downloader kama unavosema utorrent, bittorrent, vuze wakati jamaa wanalalamika kua website ndo ina matatizo ina maana hata tixati haitafanya kazi kama kat haifanyi kazi
na sidhani kama kuna downloader ya torrent iliyo bora kuliko mwenzie maana speed ya torrent inategemea na seeder, leecher na tracker. Kila tracker ana idadi yake ya seeder na leecher so kukiwa hamna tracker hata utumie tixati download lazma iwe 0kbsp
site iko poa ila torrent hazishuki na hata zikifunguka utaona kwenye utorrent inaconnect to peers mwaka mzima, haianzi kudownload
torrent nyingi za tpb zipo kat, so uwa naangalia, nikikosa kat nachek tpb, maana wanaoupload kat mdo user haohao wanaoupload tpb, kinachonipelekaga kat ni porn, torrent ziko fast sana, seed kibao...
kweli seeders ni wale wale, scene ni ile ile. ila hiyo story ya porn.. haha, na we ni mwathirika wa hizo?
![]()
torrent nyingi za tpb zipo kat, so uwa naangalia, nikikosa kat nachek tpb, maana wanaoupload kat mdo user haohao wanaoupload tpb, kinachonipelekaga kat ni porn, torrent ziko fast sana, seed kibao...
sio mwathirika bana, uwa napitia ili nisipitwe kwenye majambo, unataka niachwe kwa kupungua ufundi