Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,823
- 19,513
SawaKwako tu master
SawaKwako tu
I think there must be technical issue,Ni matumaini yangu ni wazima.
Najaribu kulog in kwenye huu mtandao naona haufunguki,mwanzo nilidhani ni router.
Nikanunua mbs za kawaida bado hola,ila nilivyojaribu kuingia Kwa namna nyingine imewezekana.
Swali na kwenu kupo hivi au ni kwangu tu?
Karibuni.
Au Chichiemu mmeshavamia ofisi za MeloI think there must be technical issue,
mwendo huu wa kobe si kawaida 🐒
wawapi hao ndugu mdau ?🐒Au Chichiemu mmeshavamia ofisi za Melo
Nani yupo Lumumba mkuuHabari za huko lumumba mkuu
NimekusomaNdio imetokea ila ni kwa muda mfupi tu,ilikua ukilogin inagoma,
Sasa ipo vizuri japo ina speed ya chini sana.
Si wewe mkuuNani yupo Lumumba mkuu