M Mtanganyikan Member Joined Nov 18, 2009 Posts 8 Reaction score 0 Jun 18, 2011 #21 Watanganyika wataalamu wa kukosoa kwa kubomoa na si kwa kujenga....
M Mtanganyikan Member Joined Nov 18, 2009 Posts 8 Reaction score 0 Jun 18, 2011 #22 Pota said: wewe unamwonaje chiku l? mi naona anaweza hata akameza kaa la moto na akajikausha ... Click to expand... Kwa sifa hii, nasukumika kumfagilia saaaaana!
Pota said: wewe unamwonaje chiku l? mi naona anaweza hata akameza kaa la moto na akajikausha ... Click to expand... Kwa sifa hii, nasukumika kumfagilia saaaaana!
GHOST RYDER JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 1,025 Reaction score 475 Jun 18, 2011 #23 Hayo ndo madhara ya kurekodi habari kwa baadhi ya Vituo vya TV, Mchanganya picha akikosea kituo kizima kinaonekana hamnazo
Hayo ndo madhara ya kurekodi habari kwa baadhi ya Vituo vya TV, Mchanganya picha akikosea kituo kizima kinaonekana hamnazo
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,252 Jun 18, 2011 Thread starter #24 Hivi pamoja na kuwa kwenye tasnia ya habari kwa muda wote huo bado kurusha taarifa ya habari live ni tatizo? Mbona kipima joto ni live. Wanashindwa hata na tbc!
Hivi pamoja na kuwa kwenye tasnia ya habari kwa muda wote huo bado kurusha taarifa ya habari live ni tatizo? Mbona kipima joto ni live. Wanashindwa hata na tbc!