Kulikoni ITV na Makonda

Donkey

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
1,499
1,582
Katika taarifa ya habari ya ITV leo usiku, wameonyesha habari ya madawa ya kulevya iliyofanyika leo jijini Dar, nimeshangaa sana kutokuona au kusikia sauti ya makonda na hata mtangazaji anasema uongozi wa mkoa wa Dar es salaam umekabidhi majina kwa tume ya kudhibiti madawa ya kulevya badala ya kusema mkuu wa mkoa wa dar, je kulikoni ITV na Makonda.
 
Iv pale alipokuwa akitaja majina ya vyombo vya habar cjui kama alitaja hata kimoja kutoka IPP media
 
Back
Top Bottom