Aloyce Temba
Member
- Apr 17, 2012
- 97
- 16
Heshima kwenu wakuu. Kwa mwenye kufahamu, kuna tatizo gani kwenye hizi channels mana mimi natumia Satelite dish ila toka juzi hazionekani. Kuna mwenzangu anatumia star times naye amesema hazioni..
Mtingaji umetisha, duh mana sasa ukiwka star times, continental, digitek, zuku n.k sijui kama patatosha, itakuwa kero aisee mana hata majirani watadhani hapo ndo makao makuu ya TCRA jinsi antena na vidish vilivyo ving nje!