ASIE NA MAKUU
Member
- Aug 10, 2021
- 45
- 66
Huenda nchi imepinduliwa.Nipo naagalia ITV kama kawaida yangu ili niweze kupata habari ,ajabu hadi sasa ni dakika ya 14 hakuna habari bali ni matangazo tu na hakuna tangazo la kucheleweshwa kwa habari .
Je! Kulikoni? Au leo hakuna habari
Nipo naagalia ITV kama kawaida yangu ili niweze kupata habari ,ajabu hadi sasa ni dakika ya 14 hakuna habari bali ni matangazo tu na hakuna tangazo la kucheleweshwa kwa habari .
Je! Kulikoni? Au leo hakuna habari
Soma uelewe.mbona habari ipo inaendelea
nielewe nini
kwani si ipo acheni ujingaImechelewa
Imeanza dakika ya 15 na kama umefuatilia vizuri wameomba radhi kwa kuchelewambona habari ipo inaendelea
Tunakoelekea kubaya kabisaa..Watakuwa wameshurutishwa kwanza kufuta habari inayohusu DPW ndipo waruke hewani. Wasipokuwa makini wanaweza wakafungiwa kabisa.
lakini si ipoImeanza dakika ya 15 na kama umefuatilia vizuri wameomba radhi kwa kuchelewa
hakuna kitu kama hichoWatakuwa wameshurutishwa kwanza kufuta habari inayohusu DPW ndipo waruke hewani. Wasipokuwa makini wanaweza wakafungiwa kabisa.