Kulikoni hadi sasa ITV hakuna habari?

Kulikoni hadi sasa ITV hakuna habari?

ASIE NA MAKUU

Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
45
Reaction score
66
Nipo naagalia ITV kama kawaida yangu ili niweze kupata habari, ajabu hadi sasa ni dakika ya 14 hakuna habari bali ni matangazo tu na hakuna tangazo la kucheleweshwa kwa habari.

Je, Kulikoni? Au leo hakuna habari
 
Nipo naagalia ITV kama kawaida yangu ili niweze kupata habari ,ajabu hadi sasa ni dakika ya 14 hakuna habari bali ni matangazo tu na hakuna tangazo la kucheleweshwa kwa habari .
Je! Kulikoni? Au leo hakuna habari

Technical problems labda
 
Nakuchelewa kote wakaamua kutupa na taarifa ya nyumbu kuvuka mto mara kama ni kitu kipya sana dah. Na hatimaye umeme umekatika nikiwa namalizia kuandika hapa nabaki kuskilizia katangazo ka kilimanjaro kichwani
 
Back
Top Bottom