Kulikoni bunge haliko live?

Dume la mbegu limerejea,linatisha,waliolitishia wametishika nalo.Lema kikwetu ni :SHINDIKANA.
 
Hapa nilipo roho ilikuwa inaniuma sana kutokuwa home ili niangalie bunge,kumbe yamekuwa hayo tena,tafadhali mwenye taarifa sahihi atujuze,japo kwa akili za maccm huenda ni uoga wa kumwogopa kamanda Lema
 

Acha kukalia majungu nenda kafanye kazi, utalalamikaje kutaka kuangalia Bunge live muda wa kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…