Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Tbc1 wameibuka na gia kuwa mtambo wao wa kurusha matangazo ya moja kwa moja ya bunge umepata hitilafu na kuharibika.swali, je hawajafanya makusudi ili watu wasione ujio wa Lema bungeni leo?!iweje mtambo ukorofishe leo leo siku ya bunge?!natafakari
Kwani mlidhan star tv wanaonyesha bure, wanalipwa.sa km bajet finyu hawajalipwa mnataka waoneshe bure?watalipaje mishahara?kwa tbc cjui sababu mana kwa hili wamenikera...
Lema huyo, yaani huyu Lema amesababisha tukose kuona kipindi cha Bunge live, aaagh! bora avuliwe tena ubunge ili tuone bunge live....