Kulikoni baba paroko?

Mkuu Harvest nakushukuru sana kwa huu uzi kwani imeonesha ni jinsi gani ulivyoguswa na BAN niliyopata

Lakini sasa nimerudi tena

Mbarikiwe nyote ambao mmeonekana kuguswa na hii kitu kwa namna moja au nyingine

Mungu awabariki sana!
 
Last edited by a moderator:
Mwambie nimerudi

Akae mbali!

Siku nyingine uache wosia bana lol.. Karucee alikuwa kama yatima..

Welcom back baba paroko.. life haikuwa bien bila wewe.. Napenda kuleta mashtaka baba paroko.......
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…