Kuliko kujifanya utahimili...! (Members only)

Ha ha haa, mshana jr acha hizo, nimecheka wakati nina msiba wa mbunge wangu
 
hehehhe huyo ni muoga tu.... mbona angevumilia!!!!
 
ila huyu naye alizidi uoga hata kujaribu hakujaribu...maana hata chupi hajavua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…