Ndio ni lazima alie, kulia kunafungua njia yake ya hewa (respiratory tree) na kufanya exchange ya oxygen na carbon dioxide kwenye mapafu kuanza kufanyika. Asipolia inamaana mtoto atakuwa na carbon dioxide nyingi sana kwenye damu na kusababisha chembe hai za kwenye ubongo (brain cells) kukosa hewa (hypoxia) na hii husababisha hizo cells zife matokeo yake mtoto anapata utaahira (cerebral palsy).
kwa kukazia mganga wa jadi kinachomliza ni maumivu anayoyapata pale hewa inapoingia kwenye mapafu na kuyatanua kwa mara ya kwanza,hii ni kwa lugha nyepesi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.