Kulewa madaraka Africa

kastro

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2018
Posts
1,011
Reaction score
631
Wajameni wote tulikuwa tunaangalia taarifa za habari za runinga ya taifa ya zaire jinsi ilivyokuwa ilianza habari kwa kuonyesha video ya dictator Mobutu akishuka toka mawinguni nadhani kasumba ya utukufu ni ugonjwa wa viongozi wengi wa Kiafrika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee hii siredi haina kiwiliwili ina kichwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…