Kulelekea uchaguzi wa mwaka 2015

Kulelekea uchaguzi wa mwaka 2015

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
10841742_627738030666248_8345438336464368943_o.jpg
 
Ucheshi mkali wa Masoud Kipanya! Wake wa marais watarajiwa bahati mbaya siwajui ie shape na muonekano wao kwa hiyo appreciation yangu ya hii cartoon si 100.

Halafu kitu kidogo. Je hiyo KP kwenye jina la chuo ina maana gani?
 
Ningepewa fursa ya kusahihisha ningeondoa mke na kuweka michepuko maana hawa binadamu sina imani nao.
 
Back
Top Bottom