Kulegea kwa misuli ya uke (Vaginal prolapse) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulegea kwa misuli ya uke (Vaginal prolapse)

Discussion in 'JF Doctor' started by MziziMkavu, Aug 19, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Tatizi hili huwatokea zaidi wanawake walio kaika umri mkubwa ingawa pia linaweza kutokea katika umri mdogo.Tunapozungumzia kulegea kwa misuli ya uke hapa kuna tofauti kidogo na kutanuka kwa misuli hiyo. Tukizungumzia kulegea ina maana misuli ya ukeni inashindwa kubcana na kuachia njia. Hapa misuli inayoachia njia inapolegea hata ukichuchumaa uhisi nyama zimejaa ukeni.


  Chanzo cha tatizo
  Kulegea kwa misuli ya uke kutokana na matatizo mbalimbali na hasa uzazi wa karibu karibu,mama anayezaa kwa vipindi viwili vifupi vifupi kwa njia ya kawaida hupatwa na tatizo hili,kulegea kutokana na matatizo ya vichocheo (Hormones) za kike,kulegea kunaweza kusababishwa na magonjwa sugu kama kansa,TB na maambukizi ya HIV,Magonjwa ya zinaa haswa kawende pia huchangia.


  Kulegea kwa misuli ya uke kutokana na matatizo mbalimbali na hasa uzazi wa karibu karibu,mama anayezaa kwa vipindi viwili vifupi vifupi kwa njia ya kawaida hupatwa na tatizo hili,kulegea kutokana na matatizo ya vichocheo (Hormones) za kike,kulegea kunaweza kusababishwa na magonjwa sugu kama kansa,TB na maambukizi ya HIV,Magonjwa ya zinaa haswa kawende pia huchangia.

  Mama anayeongezwa njia, baada ya uke kutanuka pia misuli pia inalegea,ingawa uke pia unaweza kutanuka hata bila hata ya misuli kulegea. Tatizo hili la kulegea misuli pia huchangiwa na umri mkubwa kwahiyo kwa wabibi hali hii inapojitokea ni kawaida hasa kuanzia umri wa miaka 70 na kuendelea.


  Dalili za tatizo
  Mama mwenye tatizo hili wakati wa kujisafisha ukeni atahisi kama tundu limeziba au limejaa nyama na inabodi atumie muda kujisafisha mara kwa mara atakuwa anasumbuliwa na muasho na uchafu wa mara kwa mara wakati wa kufanya tendo la ndoa, maumivu wakati wa tendo la ndoa ambayo hutokea pale tu inapotokea michubuko na maumivu wakati wa tendo la ndoa.

  Mama mwenye tatizo hili wakati wa kujisafisha ukeni atahisi kama tundu limeziba au limejaa nyama na inabodi atumie muda kujisafisha mara kwa mara atakuwa anasumbuliwa na muasho na uchafu wa mara kwa mara wakati wa kufanya tendo la ndoa, maumivu wakati wa tendo la ndoa ambayo hutokea pale tu inapotokea michubuko na maumivu wakati wa tendo la ndoa.

  Tatizo ambalo huambatana na uambukizo wa muda mrefu ukeni,pamoja na mama kutojisikia wakati wa tendo la ndoa,maumivu wakati wa tendo la ndoa ambayo hutokea pale tu inapotokea michubuko,uambukizi huweza kupanda hadi kwenye mlango wa uzazi,tumbo la uzazi,mirija na vifuko vyo mayai.

  Maambukizo yanapofikia huko mama huumwa na tumbo chini ya kitovu mara kwa mara,mwenendo wa siku za hedhi huvurugika kupata ujauzito.

  Hali ya kulegea kwa misuli ya uke pia humuathiri hata mume kwani naye hushindwa kufurahia tendo la ndoa,kulegea na kutnuka kwa uke yote huathiri mahusiano ya kimapenzi kwani mama hafurahii na baba yake hafurahii tendo la ndoa.

  Katika kutanuka kwa uke tumeona kuwa uke unatanuka zaidi ya kipenyo chake cha halali ambacho ni sentimeta nne,hivyohivyo kipenyo cha uume ni sentimeta nne.

  Utawezaje kujua kama unatatizo?
  Mama mwenye tatizo la kutanuka kwa uke au kulegea kwa misuli ya uke anaweza kujigundua kwa kufuatilia dalili zote.Njia nyingine pitisha vodole viwili ukeni kama vitapwaya ongeza view vitatu vikiweza kuingia vitatu au zaidi bila shida yoyote sambamba na dalili ambazo tumekwisha ziona basi ujue unatatizo hili la kulegea kwa misuli ya uke inapolegea kama tulivyoona hapo awali utahisi kitu kinajaa au kuvimba au nyama zinajitokeza ukeni unapochuchumaa.


  Mama mwenye tatizo la kutanuka kwa uke au kulegea kwa misuli ya uke anaweza kujigundua kwa kufuatilia dalili zote. Njia nyingine pitisha vodole viwili ukeni kama vitapwaya ongeza view vitatu vikiweza kuingia vitatu au zaidi bila shida yoyote sambamba na dalili ambazo tumekwisha ziona basi ujue unatatizo hili la kulegea kwa misuli ya uke inapolegea kama tulivyoona hapo awali utahisi kitu kinajaa au kuvimba au nyama zinajitokeza ukeni unapochuchumaa.

  Uchunguzi
  Muone daktari wa magonjwa ya akina mama kwa uchunguzi na ushauri wa tiba. Vipimo mbalimbali vitafanyika kubainisha tatizo kama kipimo cha damu,vipimo vya ukeni mfano kipimo cha speculum examination,kuotesha uchafu wa ukeni,kama mama ana maumivu ya tumbo vipimo vya ultrasound pia vitafanyika,mwenendo wa mfumo homoni na historia ya tatizo kwa ujumla itafanyiwa tathimini, vilevile itasaidia kujua kama tatizo ni la kuzaliwa nalo,uzazi wa karibu karibu au ni nini. Uchunguzi huu ufanyika ili kuweza kupanga tiba ambayo huwa zaidi ya umoja ili kuweza kufanikisha.


  Muone daktari wa magonjwa ya akina mama kwa uchunguzi na ushauri wa tiba.Vipimo mbalimbali vitafanyika kubainisha tatizo kama kipimo cha damu,vipimo vya ukeni mfano kipimo cha speculum examination,kuotesha uchafu wa ukeni,kama mama ana maumivu ya tumbo vipimo vya ultrasound pia vitafanyika,mwenendo wa mfumo homoni na historia ya tatizo kwa ujumla itafanyiwa tathimini,vilevile itasaidia kujua kama tatizo ni la kuzaliwa nalo,uzazi wa karibu karibu au ni nini.Uchunguzi huu ufanyika ili kuweza kupanga tiba ambayo huwa zaidi ya umoja ili kuweza kufanikisha.

  Matibabu na ushauri
  Tiba hutolewa katika Hospitali kubwa au katika cliniki maalum za magonjwa ya akinamama,tiba ni kurekebisha misuli hiyo kwa njia ya upasuaji mdogo na baadhi ya dawa ili kumrudisha mama katika hali ya kawaida.

  Mwanamke aepuke vyanzo mbalimbali mojawapo ni uzazi wa karibu karibu hivyo afuate uzazi wa mpango uwe wa kalenda,sindano,vidole au vijiti au kitanzi.

  Tiba hutolewa katika Hospitali kubwa au katika cliniki maalum za magonjwa ya akinamama,tiba ni kurekebisha misuli hiyo kwa njia ya upasuaji mdogo na baadhi ya dawa ili kumrudisha mama katika hali ya kawaida.Mwanamke aepuke vyanzo mbalimbali mojawapo ni uzazi wa karibu karibu hivyo afuate uzazi wa mpango uwe wa kalenda,sindano,vidole au vijiti au kitanzi.

  Epuka kupata magonjwa au maradhi ya ukeni mara kwa mara kwa kujisafisha vizuri na unapohisi tu unatatizo ukeni haraka muone daktari anayeshugulika na magonjwa ya kinamama kwa msaada mkubwa.

  Chakula bora hasa mboga za majani na matunda mara kwa mara kwa kulinda na kuimarisha mwili mojawapo ni kuweka sawa mwenendo wa mfumo wa homoni kuimarisha muonekano wa mwili na viungo vya uzazi na upevushaji wa mayai.

  Wahi hospitali kwa uchunguzi.
   
 2. p

  pretty n JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani waungwana naomba kujua ni jinsi gani au ni njia zipi unaweza kufanya ili sehemu za siri zibane? hili tatizo ni la wengi na ninaamini wengi watafaidika na mawazo yenu. Asanteni
  NB; Naomba u reply endapo una nia ya kutoa msaada au kuchangia mawazo na c vinginevyo. Karibuni.......
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Wewe ndio mwenye tatizo hilo?au umekutana na kibamia?
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Dah..! Kama una "pango" ili uinjoi tafuta aliye na mguu wa mtoto, maana kubana haiwezekani......ila nimewahi sikia eti ndimu inasaidia, jaribu.
   
 5. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  dada, kuna mazoezi unatakiwa kufanay, kwaza kabisa kaa muda mrefu bila kufanya, pili wakati unakojoa uwe unabana mkono kama sekunde kumi na kuachia unabana unaachia, unabana unaachia, hiyo huwa inarudisha k kabisa. ukishindwa, nipm mimi nina mguu wa mtoto.....tatizo hili linawapata wanawake karibia wote baada ya kujifungua. kukaa muda mrefu bial kufanya namaanisha at least a year...sasa sijui kama utaweza, ukishindwa nipm....hakuna kitu kinaboa kama kuwa na dem afu anakuwa na pango...wengine wembambaa lakini ukitia mguu hata kama una mguu wa mtoto unashangaa imepwaya tu na hana utundu wa kubana kuta za k...wanawake mnahitaji kitchen party sana....fanya mazoezi kubana k ili kubana mb...kuna wanawake wengine unakutana nao yaani aanabana mb vizuri kule ndani utafikiri ameishikilia na mikono anavyobana kuta na kuishika mb kwa kuta za k....
   
 6. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  fanya kegel exercise inasaodia sana
   
 7. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mazoezi ndo suluhisho
   
 8. c

  christmas JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,607
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  ndimu ni dawa bt naskia ina side effect cjajua ni ipi, pole
   
 9. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  ubungoubungo badilisha hapo kwenye mkono ni mkojo upo sahihi kabisa hilo ni darasa tosha na kuna kitabu nilikutana kikielezea hivyo nikikipata jina lake na maelezo nitayamwaga hadharani, nilishakutana na Dada mmoja wa kinyakyusa alinifanyia mchezo huo, ingawa receiption ilikuwa hailipi na ilikuwa nimemuokota Club sikuona aibu kumtoa asubuhi

  halafu Dada yangu pretty n usihangaike na hicho kitu utajampata anayependelea shi** kubwa km mimi maana kwa kupig*** **rero ndio lenyewe ni mpaka kibwawa nani anataka mambo ya kubanana mwisho kuchunana na kuna kagonjwa, ww iache itakauka hata asubuhi haifiki
  Halafu huku mnatutafutia BAN kuchangia na watoto wa form 1 bweni saa hizi hawajalala kuna Jukwaa lake
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. c

  cagu Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 79
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  mh! mi simo, ngoja nipite!
   
 11. E

  Eselo Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chukua juice ya ukwaju tai asali ya nyuki wadogo,,jisafishe uko kwa bibi baada ya wiki kaa tatu mambo yatakua mzri,,
   
 12. majuto mperungu01

  majuto mperungu01 Senior Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mhmh naogopa ban
  bt sipiti bila kutowa kitu
  jaribu juice ya pilipili nasikia inasaidia sana
   
 13. p

  pretty n JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kegel exercise ndo mazoezi gan Evarm?
   
 14. p

  pretty n JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mazoezi gan Autorun?
   
 15. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  Mazoezi ndo mapngo mzima,ya kubana na kuachia wakati unapoenda haja ndogo
   
 16. M

  MWAKOLO JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu wewe unatisha
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Ndio yale ya kubana mkojo na kuachia fanya mara kwa mara hata kama hauna mkojo.
   
 18. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #18
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  Pia mwambie jamaa yako awe anamwaga nje siyo kila mara anakumwagia ndani inasaidia sana, mwambie akikaribia kukojoa akojowe nje. Pili punguza kutumia condom. kwa maelezo mengine utani-PM
   
 19. L

  Luushu JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 596
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 60
  Nilikuwa nimepanda tren ya tazara nami naenda kigoma nashuka endeleeni na mambo yenu mi sipo
   
 20. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  DU umenimbusha majuzi kati,nlikutana kaduu ,chembamba kweli kweli,unajua maana ya uembamba,ila sasa uko bondeni sasa mtume mtume,hilo ladba tuliite handaki
   
Loading...