Conq'ueror
Senior Member
- May 13, 2015
- 171
- 131
jeshi la kulinda amani huwa lina sheria na mafunzo yake.ila kama yatatokea mashumbulizi jeshi la kulinda amani huwa halitakiwi kusema limepambana na wala kuhua ili kulinda sheria na amani hata kuzuia machafuko.ndo maana inakuwa siri yao.wamekwenda kwa kulinda amani si vitaWanajamvi,
Nina mapenzi makubwa sana na jeshi la nchi yangu Tanzania. Mara nyingine natamani ningekuwa mmoja wao nikahusika kwenye oparesheni tamu kama za Kongo. Pamoja na hayo; kuna jambo moja najiuliza (hadi kukosa raha) kutokana na tukio la juzi la makamanda wetu wa JWTZ takribani 14 kuuawa na zaidi ya 40 kujeruhiwa kwenye mapigano yanayosemekana kudumu zaidi ya saa 13.
Nimejitahidi kutafuta takwimu za ADF waliojeruhiwa ama kuuawa na jeshi letu shupavu ila sijabahatika kuziona. Ninajiuliza:-
1. Hivi inawezekana tupigane nao masaa 13 tusibahatishe hata mmoja?
2. Kama tuliwabahatisha kadhaa ni wangapi?
3. Kama hatukumpata hata mmoja, hii ina maana gani?
Sina maneno zaidi ya hapa; ila kama kuna mwenye takwimu hizi anisaidie ili angalau mimi komandoo niliyebahatika kubaki nao moyoni bila utekelezaji niweze kulala usingizi. Ninaamini kwamba pamoja na hasara tuliyoipata lazima tunapaswa kuwa tulipata 'faida'.
Conq'ueror
Komandoo wa kujitegemea.
Mkubwa alisema 'mapambano' yalidumu saa 13 (usiku kucha)jeshi la kulinda amani huwa lina sheria na mafunzo yake.ila kama yatatokea mashumbulizi jeshi la kulinda amani huwa halitakiwi kusema limepambana na wala kuhua ili kulinda sheria na amani hata kuzuia machafuko.ndo maana inakuwa siri yao.wamekwenda kwa kulinda amani si vita
ni siri yao aja kwambia kwamba walipambana vipiMkubwa alisema 'mapambano' yalidumu saa 13 (usiku kucha)
Unamaanisha ADF walibeba maiti 70 za jamaa zao???maiti 70 zilibebwa ili kuficha identities za washambulizi, kama wasingeua wangeisha kambi yote.
Acha bwana, wanasema walipambana saa 13. Muda wote huo hawakuchukua siraha? Tuseme zinatunzwa mbali sana au????Huenda hawakuua hata mmoja,
Kwa mujibu wa maelezo walivamiwa(ambush)
Hivyo huenda walivamiwa wakiwa Au wana swali au kucheza karata Au wamelala, majeruhi ndio wanajua mazingira waliyoku twa.
Huenda waliuwawa wakiwa hata napensi,
Hivyo hata silaha hawakuwanazo mkononi.
Problem ni Intel!Wanajamvi,
Nina mapenzi makubwa sana na jeshi la nchi yangu Tanzania. Mara nyingine natamani ningekuwa mmoja wao nikahusika kwenye oparesheni tamu kama za Kongo. Pamoja na hayo; kuna jambo moja najiuliza (hadi kukosa raha) kutokana na tukio la juzi la makamanda wetu wa JWTZ takribani 14 kuuawa na zaidi ya 40 kujeruhiwa kwenye mapigano yanayosemekana kudumu zaidi ya saa 13.
Nimejitahidi kutafuta takwimu za ADF waliojeruhiwa ama kuuawa na jeshi letu shupavu ila sijabahatika kuziona. Ninajiuliza:-
1. Hivi inawezekana tupigane nao masaa 13 tusibahatishe hata mmoja?
2. Kama tuliwabahatisha kadhaa ni wangapi?
3. Kama hatukumpata hata mmoja, hii ina maana gani?
Sina maneno zaidi ya hapa; ila kama kuna mwenye takwimu hizi anisaidie ili angalau mimi komandoo niliyebahatika kubaki nao moyoni bila utekelezaji niweze kulala usingizi. Ninaamini kwamba pamoja na hasara tuliyoipata lazima tunapaswa kuwa tulipata 'faida'.
Conq'ueror
Komandoo wa kujitegemea.
Una uhakika?Nenda wewe commando wa kujitegemea uone utavyochinjwa kama panya jike