Kulambishana pekee ndiyo mahaba, walakini?

Kulambishana pekee ndiyo mahaba, walakini?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,502
Reaction score
911,255
judge-sex-008.jpg

Truthful speaking sex is not necessarily an expression of true love as most pretend is..................


Hivi yawaje jinsia mbili msipendane bila ya kuinajisi miili yenu?
Yaani bila ya kulambishana majitaka hamuwezi mkapendana?
Kweli kuna ulazima mchuane misuli kuthibitishiana hata hili?
Mkipitishana kwenye "
Marathon" ndiyo mwadai hayo nd'o!
Mkigaragarazana basi hamhitaji ushahidi mwingine wa ziada!
Kulambishana pekee siyo kukata kiu tu na hakuna la ziada?
 
haha ha ha kweli pamoja na kulambishana maji taka bado haitoshi na wengine wanaenda zaidi hadi kwenye taka zingine..........
daaa mapenzi siku hizi yamekuwa ya fashion sana ,wengine bila kula taka wanajua hawapendwi na hata ukilamba taka halitokuwa suluhu la upendo bali bado hitahitajika njia nyingine ya kuendelea kuthibitisha una upendo.
 
Mleta mada,

Wenda ukawa sahihi at some point lakini vilevile kuna upande mwingine umeupunja kwa kiasi fulani katika hilo hitimisho lako.

Sitajikita kwenye huo upande uliopo sahihi kwa kuwa hoja yako hapo imejitosheleza kwa kiasi kikubwa. Ningependa zaidi nijikite kwenye huo upande mwingine ambao naamini umeupunja; hivi una tambua kuwa kuna baadhi ya wasichana/wanamake wao uwa wanavua chupi kwa wale tu wanao wapenda kwa dhati?, na kamwe hawapo tayari kuvua chupi (hata kama ni wapenzi wao) kwa wale ambao hawana mapenzi nao? Nadhani hapa waweza kupata picha kwanini mara nyingine "ngono" hutumika kama kipimo cha kutambua kama unapendwa au lah.
 
haha ha ha kweli pamoja na kulambishana maji taka bado haitoshi na wengine wanaenda zaidi hadi kwenye taka zingine..........
daaa mapenzi siku hizi yamekuwa ya fashion sana ,wengine bila kula taka wanajua hawapendwi na hata ukilamba taka halitokuwa suluhu la upendo bali bado hitahitajika njia nyingine ya kuendelea kuthibitisha una upendo.

tunahitaji maombi ya nguvu kabisaaaaaaaaaaaa
 
Mleta mada,

Wenda ukawa sahihi at some point lakini vilevile kuna upande mwingine umeupunja kwa kiasi fulani katika hilo hitimisho lako.

Sitajikita kwenye huo upande uliopo sahihi kwa kuwa hoja yako hapo imejitosheleza kwa kiasi kikubwa. Ningependa zaidi nijikite kwenye huo upande mwingine ambao naamini umeupunja; hivi una tambua kuwa kuna baadhi ya wasichana/wanamake wao uwa wanavua chupi kwa wale tu wanao wapenda kwa dhati?, na kamwe hawapo tayari kuvua chupi (hata kama ni wapenzi wao) kwa wale ambao hawana mapenzi nao? Nadhani hapa waweza kupata picha kwanini mara nyingine "ngono" hutumika kama kipimo cha kutambua kama kuna unapendwa au lah (mimi ni dume, so nimezungumzia jinsia ya kike).

kulithibitisha hili la kwako naona nao ni mtihani kwa walengwa tu wengeo yetu macho!
 
Rutashubanyuma, ni kweli bila Neema na Rehema zake Mungu, hatuwezi, maana watu tunavyojihalalishia unajisi utadhani tumejiumba wenyewe. Mungu atuhurumie sana na kutupa maongozi yake
 
Last edited by a moderator:
Huyo jamaa yako uelewa wake sijui hata hua ukoje, so anamaana wasichana/wanawake wanaowavuliaga nguo mabosi wao hua wanawapenda? Very poor thinking capacity, ndio maana yupo magambani!

well, what can I say?
 
Rutashubanyuma, ni kweli bila Neema na Rehema zake Mungu, hatuwezi, maana watu tunavyojihalalishia unajisi utadhani tumejiumba wenyewe. Mungu atuhurumie sana na kutupa maongozi yake

Ni kweli kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Tunahitaji msaada wake kwenye hili vinginevyo tumekwama kabisa.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom