Kulalamika ni ishara ya Upendo

[emoji51][emoji51][emoji51]Duuuuuh mkuu umechafukwa sana inaonesha
 
Tamthilia zinatuharibu...kumbuka hii ni Tanzania na unawazungumzia watanzania"the much know"
 
Sidhani kama Kuna mwanaume anamzabua kibao mwanamke wake bila sababu za kueleweka.
Labda kama ana mental distractions.
Ila kwenye 6 Kwa 6, Kuna watu wana vibe hizo so ni kumsoma mtu wako na kumwambia kama hufurahii kitendo hicho.
Nimefatilia comment zako ..I declare kusema uko sahihi kwa Kila kitu
 
Hayanaga muongozo, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Kumpiga mwanamke au mtu yoyote hakufanyi akuheshimu badala yake atakuogopa, inaonesha unakosa self control, na hii kwa mwanaume ni udhaifu mkubwa manake njia zingine zote zimefeli thats Y unaangukia kwenye fujo.

Mshawishi mwanamke wako akuheshimu na ndio mambo km attention yanangia hapa. Kuna mtu kaongea kuhusu attention hapo juu, ila Attention ni uwezo wa ku demonstrate value km mwanaume, hakuna zaidi ya hapa. Mungu kawaumba wanawake kiasili kama attention seekers, hakuna mwanamke nje ya attention na ndio sababu if you break up atajaribu kuchafua reputation yako lengo kushawishi watu wasikupe attention sababu anaamini kukosa attention ni kuwa isolated na ukiwa isolated kwake ni ushindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…