CAG wa buza
Member
- Apr 2, 2023
- 13
- 32
Hakuna kitu chenye nguvu katika mahusiano kama mwanaume kumnyima mwanamke attention, hii ni kipimo tosha kujua kama anakupenda au hakupendi.Na ukiona unaeza mnyamazia mpenzi wako na asikulalamikie kwanini umemkalia kimya ujue ANAE MPENZI wake ambae SIO WEWE.
Kulalamika ni ishara ya kujali, kujali ni matokeo ya upendo, kama mwenzi wako anakulalamikia manake anajali kuhusu matendo yako na hiyo ni sababu ANAKUPENDA.
Huu n unyanyasaji ila ukiona hivyo bora ujiengue tu maana mwenzio keshajiengua muudaHakuna kitu chenye nguvu katika mahusiano kama mwanaume kumnyima mwanamke attention, hii ni kipimo tosha kujua kama anakupenda au hakupendi.
Women psychology inathamini sana mwanaume Bora, na mwanaume Bora hawezi kuwa all the time achati na wewe.Huu n unyanyasaji ila ukiona hivyo bora ujiengue tu maana mwenzio keshajiengua muuda
Sana, anataka ubadilike, ni hatari kama hakuna mawasiliano kwenye 6 Kwa 6.Kwahiyo akilalamika humfikishi anakupenda [emoji23][emoji1544]
Utajua hujui....
Nimeitumia hii method Zaid ya miaka 2 na imefanikiwa, huwa naishiwa kuonwa na demu kuwa nina mademu wengi, huwa anadhani namcheat kumbe Wala sina sema mambo mengi ya kufanya.Huu n unyanyasaji ila ukiona hivyo bora ujiengue tu maana mwenzio keshajiengua muuda
Hapa JF tunaongea tu....ila huko duniani yanayotukuta [emoji23][emoji1544]Sana, anataka ubadilike, ni hatari kama hakuna mawasiliano kwenye 6 Kwa 6.
Kuandika rahisHapa JF tunaongea tu....ila huko duniani yanayotukuta [emoji23][emoji1544]
Bro mi ninejifunza kutokana na makosa so najitahidi kuishi ki-masculine, mademu huwa wanaaminishwa kumtafuta Mwanaume submissive ila nature iliyowekwa ndani ya DNA zao ni kwamba wanataka Mwanaume Bora aliyemzidi kwa Kila kitu, ndo maana mwanaume lazima usake mafanikio ya pesa na afya.Hapa JF tunaongea tu....ila huko duniani yanayotukuta [emoji23][emoji1544]
Kuhusu suala la attention kuitoa, nimejaribu Kwa mademu tofauti nikagundua wanaumia sana usipowatafuta huwa Wana hisia una wanawake wengine.Hapa JF tunaongea tu....ila huko duniani yanayotukuta [emoji23][emoji1544]
Sasa kila mtu akiwa hamtext mwenzake kwanza anaogopa kuonekana zoba, si italeta shida[emoji23]Bro mi ninejifunza kutokana na makosa so najitahidi kuishi ki-masculine, mademu huwa wanaaminishwa kumtafuta Mwanaume submissive ila nature iliyowekwa ndani ya DNA zao ni kwamba wanataka Mwanaume Bora aliyemzidi kwa Kila kitu, ndo maana mwanaume lazima usake mafanikio ya pesa na afya.
Ukitunza afya na ukala vyakula Bora, hutafeli 6 Kwa 6, ukipata mafanikio financially, inaboost MAHUSIANO ila kikubwa respect.
Siku ya kwanza tu ya dating unajua tu kama mwanamke anakufaa au hakufai kama ukiweka nyege pembeni.
Ukiona wewe KATIKA conversation zote we ndo unaanza kumpigia demu simu au kumtext, achana naye, hakupendi, toa attention.
Kuongeza single mothers kumbe ni mafanikio[emoji23][emoji1544]Kuhusu suala la attention kuitoa, nimejaribu Kwa mademu tofauti nikagundua wanaumia sana usipowatafuta huwa Wana hisia una wanawake wengine.
Hili niliambiwa kabisa, na mawasiliano yakaendelea.
Remove attention, restore, remove it again, watakuheshimu sana maana watakuona mysterious na wanapenda sana watu mysterious ndo maana badboys wanafanikiwa kuongeza single mothers Kila mwezi
Hapana hili nimeshafanya, we jaribu kutoa attention, utapigiwa mpaka simu, pokea then mchombeze kuwa kama panya anayenata na kupuliza.Sasa kila mtu akiwa hamtext mwenzake kwanza anaogopa kuonekana zoba, si italeta shida[emoji23]
Mafanikio kuwa Wana uwezo mkubwa wa kuwashawishi wanawake kiasi kwamba Yuko tayari kureproduce na wanaume hao ambao wanaona ni Bora kuliko nice guys.Kuongeza single mothers kumbe ni mafanikio[emoji23][emoji1544]