Kulala upande wa ukutani

kitanda kipo kati, hapo ukutani wapi....?
 
Je, wajua kwamba siku zote wanapolala mume na mke, mwanaume siku zote hulala upande wa ukutani?

Hebu kila mmoja atoe ushuhuda wake hapa na aeleze ni kwanini?

Napenda ukutani sana by the way lipakwanza naona.research yako bado.haijakilika
 
Last edited by a moderator:
Mi kwangu ni vise versa na nikiwa na mtoto mdogo ndo analala mwisho ila kitanda hakipo ukutani.
ukiwa na mtoto sawa,ila ukiwa na jamaa kwa siku za mwanzo ilikuaje kabla ya mtoto na mtoto anapokua mbali kidogo...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…