Kulala msibani balaa

unaweza kukwepa kulala misiba yoote iule unasema leo nilale msiba huu ndo hapo hapo unaota, si unajua ile ya siku ya kufa nyani....................., na siku utembeayo uchi ndo ukutanayo na mama/baba mkwe?

Ni kweli huwezi kujua ndoto itakujaje kujaje!!!!!
 

Hilo suala limenikumbusha 90's wakati nipo shule sekondari,tulikua darasani na mwalimu aliacha kufundisha ghafla na akanyamaza sekunde kama 20 hivi halafu kwa upole akasema,naomba muwaamshe hao waliolala,(kulikua kuna wanafunzi 2 wanauchapa) Ndo akaanza kutueleza kua tusipende na tujiepushe kulala sehemu yenye mjumuiko wa watu kama darasani,msibani nk..maana waweza ukajikojolea au ndoto kama hiyo na inakua aibu kubwa,Ila kujikojolea ni fedheha zaidi kwa vile kunakua na material imemwagika na harufu na kunatakiwa usafi ufanyike,hata kukusitiri inakua shida,na mbaya zaidi kama umekua wa mwisho kuamka ile alfajiri hukuishitukia issue mapema.

Kuna baadhi ya ndoto ambazo zinaweka mihuri na zingine haziweki mihuri kwenye akili za mashuhuda na mwenye ndoto.Ila DHAMIRI zetu zina nguvu na ndizo zinazokemea na kutuweka huru au kutuunguza mioyoni mwetu.Namaanisha matendo ya ndoto yanavumilika mbele ya macho ya mashuhuda na kwa aliyeota kuliko kufanya kitu makusudi mfano,uko msibani then usiku wa manane wenzio wanaomboleza wewe na mwezio mnatoroka mnaenda gizani kwenye ukuta wa nyumba mnaanza kugegedana na watu wanawafumania,hiyo ni aibu na laana kubwa,haivumiliki!!!!!Tujitahidi kua active kwenye mkusanyiko wa aina yotote wenye lengo la mtu kutolala.
 
Naskia Lady Anakonda analo hili,lol!!
 
Padre au?
 

Hiyo ni feedback kwamba anampenda mume wake mpaka anamkumbuka mumewe kwenye issue za kudinyana wengine wangeota zile mechi za ugenini
 
nyumba ya ibada unayoendesha iko wapi mkuu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…