Kulala chali huku kunamainisha nini ?

Apa hawa vijana walio lala chini wanasimikwa kuwa mapadre.kulala huku chini kuna maanisha ya kuwa wanaifia Dunia na kumfata Yesu Kristo.So wanaiacha dunia na matamanio yake yote for Jesus
 
Wanajiweka wakfu kwamba wanamtumikia Mungu na kazi yake. Naamini hapo kawaida kuna nyimbo maalumu zinazoimbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…