Kulala bila nguo ya ndani (kyupi)

Kina dada, mnafahamu mnaweza kupunguza matatizo ya mabukizi ya fangasi kwa kulala uchi/watupu? Unaweza kupunguza kuzaliana kwa fangasi na uke wako utakushukuru kwa hilo. Vilevile wanaume wanaweza kufaidika kulala uchi/watupu kwa kuwa korodani zinakuwa katika jotoridi la kutosha na uzazi unaongezeka.
 
Kwanza hiyo pichu unavaa tangu asubuhi mpaka jioni huchoki tu mpaka uvae tena usiku?
hata hiyo k inahitaji upepo na kujiachia

Nauza vyupi vya kike vyenye feni ndani!
 
Kwa sisi wanandoa kuna kugusanagusana kukumbatiana,sasa ukimgusa mwenzio alafu ukakutana na jeanz daa unaona kaa umegusana na ubao....b4 nilikuwa siwezi kulala bila nguo,lakini tangu nioe sipendi kulala na matambala
 
Mie napenda sana kulala bila chupi maana ifikapo alfajiri kwanza uke unakuwa umeumuka pia kuna uteute flani hivi huwa unatoka huku chini...naupenda sana unavyonukia...ki utamu-utamu...yaani unaleta 'ashki' ya kulicheza segere.

Ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuu........
 

haaaahaaah!Umesema kweli,kujiachia muhimu
 
Hyo n falsafa ambyo wa2 mameicreate kusudi waweze kudhiirisha kwamba moja kati ya kitu kikbwa kinachohusisha kuolewa au ndoa ni kuingiliana kimwili but haina madhara hata kulala na jeans mkuu
 
Kuna baadhi ya nchi huko matawi ukilala bila nguo ni kosa la jinai!. Kwani likitokea la kutokea usiku siyo unakurupuka ukiwa mtupu!.
 
Navaa tena na 9dres naongeza juu na braa ndani akihtaji atanivua akimaliza anivalishe. Imeandikwa wapi tutlale uchii? majambawazi yakizuka au moto ukiwaka unakimbia nje kwenda kuvalishwa na majirani au?
 
A woman body is an art work,kwa kyupi au bila kyupi still anatia ashki na anavutia,hata akivaa haileti usubumbufu sababu hata kuivua yenyewe ni raha tosha ndo maaana wengine tunaivua kwa meno

Uuuuuwiiiii asanteeeee.... umenishka patamuu. mimi nakupa Gud
 
Kitaalam intakiwa kuacha mwili wazi walau masaa 8 maana muda mwingi unakua umezibana nyeti kwahiyo unashailuriwa mida ya usiku ujiachie..
 
hata mchana manzi wangu akija kavaa kyupi uhusiano ndo unavunjikia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…