Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote


Mate yananidondoka...... ntaanza kukuvizia sasa, ole wako siku usahau kufunga mlango na funguo.......alafu inaelekea wakaa gorofani wewe.
 
Jamani kwani mkioana ngono ni kila siku.???? Basi balaaj
Huwezi jua muda na saa ambayo mwenzi wako atakuhitaji, otherwise uweke ratiba jambo ambalo si kawaida! To be reliable, sleep naked especialy during the night....! Pili, rekebisha lugha kidogo, use euphemism! Tukioana huwa tunashiriki 'tendo la ndoa" na si NGONO kama unavyosema wewe!
 
Usiku kuna mengi kuna vibaka,wezi ,jambazi, moto Nk

Unaweza kutoka nje mbio ukashangaa wasamaria wema wanakukimbia.
 
tafuta wazaramu wakupe mantiki
 
AC wewe acha mazoea

Mkuu nyuzijoto 16 kwa AC, kwa Dar ni baridi kali sana, hasa usiku ambapo milango haifunguliwi funguliwi! Unakaaje humo ukiwa uchi! Auunatumia mablanketi?!
 
Mkuu nyuzijoto 16 kwa AC, kwa Dar ni baridi kali sana, hasa usiku ambapo milango haifunguliwi funguliwi! Unakaaje humo ukiwa uchi! Auunatumia mablanketi?!

Labda kaishi ulaya
 
Uswahilini ukilala uchi basi asubuhi yake utakuta mtaa mzima wamehamia dirishani kwako wanaangalia sinema ya bure.
 

Hapo kwenye red kunadhihirisha kweli wewe ni Mwana Mtoka Pabaya
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…