Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

mmmh sasa kama watu mnagegedana kulala na nguo ya nn tena??
 
Wakuu

Naomba kuuliza tu kwamba je watu kulala uchi wa Mnyama maana/mantiki yake ni nn?

Mimi nalala uchi, lakini sio wa mnyama kama ulivyosema bali uchi wangu mwenyewe. Nalala uchi kwa sababu hata mchana navyovaa nguo huwa navaa kwa sababu ya kujisetiri. Sasa sijui nikiwa chumbani kwangu, sina safari wala mgeni unataka nivae nguo ili iwe nini.

Kipindi nasoma, nilikuwa nakaa chumbani na taa yangu ya mezani uchi na hapo na 'matirio' ndio yalikuwa yanazama ubongoni murua. Kukaa uchi raha bwana asikwambie mtu, seuze kulala?

Kwa namna ile unavyoipumzisha miguu yako kutoivalisha mibuti unapokuwa ndani basi ndio unatakiwa uutendee haki uchi wako unapokuwa room. Ni ufisadi mkubwa kupeleka sura beach kupunga hewa huku uchi hauna hata nukta ya kupunga hewa
 
Well said unaupa mwili freedom c kila wakati umeujaza miguo
Sehemu nyeti za mwili zina relax!
Si lazima wakati wa kulala tu, kama wewe ni bachelor or spintser, ukiwa alone rum, jiachie tu uchi. Bonge la starehe, jaribu uone, hutajutia.
 
mimi nalala uchi, lakini sio wa mnyama kama ulivyosema bali uchi wangu mwenyewe. Nalala uchi kwa sababu hata mchana navyovaa nguo huwa navaa kwa sababu ya kujisetiri. Sasa sijui nikiwa chumbani kwangu, sina safari wala mgeni unataka nivae nguo ili iwe nini.

Kipindi nasoma, nilikuwa nakaa chumbani na taa yangu ya mezani uchi na hapo na 'matirio' ndio yalikuwa yanazama ubongoni murua. Kukaa uchi raha bwana asikwambie mtu, seuze kulala?

Kwa namna ile unavyoipumzisha miguu yako kutoivalisha mibuti unapokuwa ndani basi ndio unatakiwa uutendee haki uchi wako unapokuwa room. Ni ufisadi mkubwa kupeleka sura beach kupunga hewa huku uchi hauna hata nukta ya kupunga hewa

binadamu nae si ni mnyama jaman! Lol
 
Haha we hukai uchi ndani kwako?yaelekea watisha hadi wajiogopa mie bana navaaga vigown vidogo vya kuishia mapajani viko very loose bila hata ch.upi nikiwa kwangu napika nafua nadek namalizia viporo vya report za job nadance its nice na nakuwa light kufanya movements
Uc.hi unatisha nyie acheni masikharaaaa! Yaani ukimuona mtu ambae hujakusudia akiwa hivo mambo yako yote yanasimama kwa gundu, nuksi na mikosi.
 
Back
Top Bottom