Kula ujana uzee uko njiani

Huna sababu ya kupambana katika sehemu unayoona haiwezekani, sio lazima kwenye umachinga wa sehemu moja, unaweza kuufanyia sehemu nyinginge na njia nyingine. Mapambano ni pamoja na kusugua kichwa kufikilia cha kufanya baada ya kimoja kuonekana kinashindikana. Jali muda usiupoteze sehemu isiyokuwa na manufaa.
 
Maneno ya ki-ccm ccm hayo!Hata hivyo nimeshapata connection ya ufugaji wa kware. Narudi zangu Mkuu KwaMaangulwa kufuga kware. Sijui itakuwaje maana mimi ni wa kwanza.Nasikia mayai ya kware yana soko zuri sana Kenya.
 
CCM ndio nini!!! mkishauriwa mnaleta dharau. kwa taarifa yako hayo makware yako hadi yatage mayai utakuwa ushazeeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…