happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
Dah!!!..sisi wengine msoto unaanzia ujanani mpaka uzeeni..alafu tunamalizia na akhera........
definition ya kula ujana iko limited na kufanya haya tu au kuna mengine?
Kuna mengine kutokana na lifestyle uliyonayo. kuna wengine hawapitii hiii
Watanzania wengi tunatoka utotoni direct to uzeeni....!
Dah!!!..sisi wengine msoto unaanzia ujanani mpaka uzeeni..alafu tunamalizia na akhera........
Kweli kabisa KikulachoChako, kuna double suffering,msoto ujanani na uzeeni na hatimaye moto wa jehanam. Very unfair!Dah!!!..sisi wengine msoto unaanzia ujanani mpaka uzeeni..alafu tunamalizia na akhera........
aweke pia na akiba ya uzeeni na siyo kumaliza yote ujanani....
huyo ndo anamiliki ilo tumbo Flat
Kweli kabisa KikulachoChako, kuna double suffering,msoto ujanani na uzeeni na hatimaye moto wa jehanam. Very unfair!
Ujana raha sana.... hakikisha unautumia vizuri
uzee kumbe