Hakuna kupika leo, tuingie mtaani, wkend imeanza; wapi kuna vaibu nzuri kwa siku ya leo; kuwepo na laivu bendi yenye mdundo wa taratibu, usiochosha mwili na viungo.
Mi nimeshapiga pamba zangu nyeupe kwa ajili ya kujichanganya na jamii; we unajipanga kwa lipi katika wkend hii?
Maisha ni haya haya na yana mwisho, uwe na mali usiwe na mali lazima ufikie mwisho wako.
Kula maisha...
View attachment 3095173