Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
MUONGOZO WA CHAKULA, KATIKA KUIMARISHA AFYA YA UZAZI KWA MWANAUME 2026
📌ASUBUHI
✅Chai - iwe ya viungo vya Asili pekee
• Tangawizi, iliki, karafuu, mdalasini au mchaichai
✅VitaFunwa
• Viazi, Mihogo, Magimbi, Ndizi (chemsha tu)
• Mayai, mbogamboga
✅Matunda - Aina yoyote
❌ Kama Hakuna Ulazima Usinywe Chai Kidume Kwa ASUBUHI
📌MCHANA
✅Ugali | Wali | Ndizi Rosti | Makande
✅Mbogamboga ziwe nyingi sana
✅Samaki, Nyama, Kuku, Mayai
✅Maharage, Kunde, Mbaazi, Choroko
✅Mtindi
✅Maji Mengi
📌USIKU
▪︎Ugali | Wali | Ndizi Rosti (kiasi chake)
✅Mbogamboga nyingi - Aina yoyote
✅Samaki | Nyama | Mtindi | Mayai
✅Matunda Aina yoyote yawe mengi
• Usiku Kula Kiasi kidogo sana cha wanga
📌VYAKULA VYA ZIADA MUHIMU NA LAZIMA UWE NAVYO NDANI
1. Tende
2. Karanga
3. Almonds (sio lazima)
4. Korosho
5. Mbegu za Maboga
6. Asali
7. Kitunguu Saumu na Tangawizi
📌MATUNDA HAYA MUHIMU SANA KWA MWANAUME
1. Parachichi
2. Ndizi
3. Tikiti
4. Chungwa
5. Tango
⚠️ Kwa Mtu Mnene | Mwenye Kitambi Hauruhusiwi kutumia Wali na Wali kama Unataka kupungua Uzito
⚠️ Kwa Mtu Mwenye Kisukari Hatakiwi Kutumia Baadhi ya Vyakula Hapo
⚠️ Wahenga Walisema Akili za Kuambiwa Changaya na Zako - Hivyo Pangilia Ratiba yako ya Chakula Kulingana na BAJETI | UCHUMI | FEDHA | UWEZO wako
✍️Mr Kidume | Kidume Herbal
☎️+255 691 517 166 |