Kukutana na mwanamke mkali safarini

Kukutana na mwanamke mkali safarini

Enzi zile za kukata ticket before- Namhonga mkatisha ticket buku mbili anipange siti moja na mrembo.
Siku moja nimekaa na mwanaume mwenzangu siti ya mbele kushoto amekaa jamaa na mrembo ila hatumii fursa. Tulivyoshuka eneo la kupata msosi- kurudi nikajitoa akili nikachukua kiti cha msela.😀😀😀.
Hahah enzi zangu niko kwente game kuhama siti ilikuwa kawaida sana,kwenye kukata tiketi nlikuwa nafanya kama wewe ila skuwa natoa bakshishi.nakumbuka kuna siku nlikuwa nasafiri na mshua na mama mi nmekaa siti ya nyuma na faza maza kakaa siti ya mbele na mdada msupuu,nkamchekecha mama nkamwambia hebu ukuje huku ukae na mumeo,tukafanya chenji kota.nshahamaga siti kwenye ndege nkahamia alipokaa mdada mana siti ya pembeni haikuwa na mtu.
Na huwa sina time na kuomba namba,nahakikisha mpaka tunafika safari yetu tayari tushazoeana na dem yuko comfortable na mimi vyakutosha.
Skuizi damu imepoa sina hata time,safari nzima ni kulala,kusoma vitabu na kuskiliza muziki,ila bado mara moja moja mbuzi anafia kwa muuza supu.
 
Aaaaah umetisha.
Yaani bonge la timed zoezi kupima uwezo wa kusomesha.
Unajipima.. Kutoka dar- chalinze lazima story ziwe zishanoga, kufika segera lazima awe amesizinzia kwa kulala kifuani au wewe ushajifunika mtandio wake wajifanya baridiii. Kama ashukia moshi basi sifiki arusha... Nashuka nae tumalizane. Huo ndio uanaume. Maanaume haachi K!.

Kuna moja ilipandia Mwanga ( dar express inayotaka Nai , it was 2014) kuelekea dar, tulikaa seat ya nyuma peke yetu. Siwezi kuweka wazi kilichotokea ila namshukuru mungu basi lilifika salama. Toto fulani la kipare ila limeenda hewa, jeupe, bichibichi hivi. Msela mmoja alikaa siti moja kutoka kiti cha nyuma alipata taaabu sana ( sema hakuwa mkuda), angechomesha.
 
Back
Top Bottom