Kukumbushia kumenicost!!!

Mwaka huo 2007 mi naanza kazi kampuni moja hivi ya madini huko North Mara..!
Duh...kweli Jf imevamiwa na watoto wa mwendokasi.
Kijana wenu anawaomba ushauri nyie mmejikita kwenye umri


Onyesheni huo ukongwe sasa kwa kumpa ushauri wa busara maana kuishi kwingi kuona mengi.
 
hama haraka sana , jamaa yake akigundua kama ulikuwa unatembea nae, atakutanguliza mbele ya haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…