Kukumbushia kumenicost!!!

hahaha mkuu nimeingia chuo kama inservice na sio fresh from school so huyu bado ni mtoto tu kwangu
 
Kweli Mkuu...
 
hahahaha dogo una miaka mingapi usiassume kuwa kwa vile nimesema ndo nilikuwa namaliza mwaka wa kwanza basi niliingia chuo nikitoka shule nilitokea kazini ndo mana nikasema wewe ni mtoto
Ouk na miaka 25.
 
Naona mwaka huu utapaa na jamaa pamoja kwa utaratibu mzuri hata usioupenda.
 
Jamani sasa sie wengine wa 2007 form one si ndio utashangaa zaidi?

Tuvumiliane gen,kikubwa hoja na sio umri.
Mbona wapo wazee humu na wanaandika pumba?
nakuja inbobo aisee
 
Mkuu vaa kininja ufiche sura yako.....!!!!
 
Yule bint alikuwa mdogo wake na mkuu Wa shule? Mbona hakuna uwiano! Anyway hata Obama alizaliwa nje ya ndoa!
 
Umetoa imekataa. Siyo km nakuogopesha. Inabid ukae kimya km haujui na uache mazoea na huyo mwanamke.
Ila sasa km issue itanuka, inabid uandae hela km milion 5 hiv ya kumpoza jamaaa, na umwambie ukweli kuwa huyo alishawahi kuwa demu wako.
Ila sasa hawa watu wanasifika kwa kuwa na roho mbaya sana, hata km haujafanya makosa atakuchawia tu. Usikute huko aliko anajua kila kitu anasubiri muda tu, akupoteze.
MKE WA MTU SUMU, HII KAULI NDIPO HAPA INAJIDHIHIRISHA KUWA NI YA UKWELI.
MM NISHASHUHUDIA WATU 5 WANAKUFA KWA UJINGA HUU. CHEZEA VYOTE ILA SIYO MKE WA MTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…