Kukumbushana ni Muhimu, kama wewe ni Mzazi soma hapa Tafadhali.

Watu tunapenda sana 'mambo yanayotupa starehe ya muda mfupi'...xmass na idd will never end!!
Ndo maana ukitwambia tuchangie harusi utatupata wengi tu..twambie sasa tuchangie kujenga shule..lol
ila ubarikiwe kwa kutukumbusha!!

Ruka tu,banjuka tu, life ni fupi na me cjivungi, naweka shida chini natupa mikono juu, baa baa banjuka tuu
 
asante mtoa mada ingawa umetunyanyapaa tusio wazazi ingawa nasi tuwalezi na hizo ada tunazifeel ileile
Hakuna unyanyapaa hapo, ila wewe kama Mlezi kwa Lugha ya kishure unatambulika kama Mzazi, ila hongera sana kwa kuwa na moyo wa kusomesha extended Family Mungu akuongezee kipato.
 
Ndio uhakikishe ada za watoto tayari kabla hujabanjuka...mambo ya kuja kukopana Januari nani anayataka bwana?

Ruka tu,banjuka tu, life ni fupi na me cjivungi, naweka shida chini natupa mikono juu, baa baa banjuka tuu
 
Gud reminder!
Ijumaa tu naenda kulipa balance itakayobaki ndo x-mas hiyo
 
Back
Top Bottom