Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,608
- 93,381
Vitendo ndio muhimu zaidi.Asante.
Ni kweli kabisa maana kuna wengine nawaona wako bize kujiandaa na xmass wakati 6 January shule zinafunguliwa unaishia kwenda kukopa mikopo ya kijinga yenye riba za juu.reminder bora kabisa hii!!!
Nimeshapitia Maisha ya kukopa kwa ajili ya kuendekeza starehe za kijinga, Mtoto kurudishwa shule kwa sababu ya Ada ni aibu kwa sisi hasa Baba zao, hata kama hatuna kitu kujipanga mapema ni muhimu.
Duh mimi nimrtokamo na Ada imeniacha penniless, mpaka April ndio nachimbua tena!
Ila Asante for reminding us.
Shule jamani shule,
Tuko ndani ya mwezi December xmass hiyo around the corner, kwa wale
Wazazi wenzangu tuliogoma kusomesha watoto zetu kwenye shule za Umma
tunajukumu mbele yetu.
Kinachonisikitisha Watanzania japo si wote tunaishi kiholela holela bila
mipango wala bajeti, utadhani mwezi December haupo kwenye kalenda na
January huwa inasubili kama mwandamo wa mwezi.
Madhumuni ya thread hii ni kukumbushana kama mfuko umekaa vizuri ni
jambo la heri kabisa kuwahi benki na kulipa school fees ya mtoto/watoto
na ubaki na pay in slip yako kwa ajili ya kuifikisha shuleni siku ya
kwanza shule itakapofunguliwa.
Msisubili January hiyo muanze maandalizi ya zima moto tuanze kupigana
mizinga na kujiingiza kwenye mikopo ya riba ambayo haina maana yoyote,
wote tumechoka lakini kidogo tunachopata tunajitahidi kuishi kwa bajeti
na malengo.
Na wale Wazee wa nyumba ndogo nawaomba kama unasomesha mwezi huu ziambie
zikukalie mbali kabisa umebanwa na familia muonane after January.
Ni hayo tu mtaikumbuka thread hii siku si nyingi.......
Nimeshapitia Maisha ya kukopa kwa ajili ya kuendekeza starehe za kijinga, Mtoto kurudishwa shule kwa sababu ya Ada ni aibu kwa sisi hasa Baba zao, hata kama hatuna kitu kujipanga mapema ni muhimu.
Hehe!
Waambie mkuu....wasisahau na kununua ving'amuzi mwisho wa analogia ndo huu
Umri ndio kila kitu, kuna umri ukifika na kama huna akili basi wewe ndio basi tena.Da we noma,una akili coz unaona mbali...
Shule jamani shule,
Tuko ndani ya mwezi December xmass hiyo around the corner, kwa wale Wazazi wenzangu tuliogoma kusomesha watoto zetu kwenye shule za Umma tunajukumu mbele yetu.
Kinachonisikitisha Watanzania japo si wote tunaishi kiholela holela bila mipango wala bajeti, utadhani mwezi December haupo kwenye kalenda na January huwa inasubili kama mwandamo wa mwezi.
Madhumuni ya thread hii ni kukumbushana kama mfuko umekaa vizuri ni jambo la heri kabisa kuwahi benki na kulipa school fees ya mtoto/watoto na ubaki na pay in slip yako kwa ajili ya kuifikisha shuleni siku ya kwanza shule itakapofunguliwa.
Msisubili January hiyo muanze maandalizi ya zima moto tuanze kupigana mizinga na kujiingiza kwenye mikopo ya riba ambayo haina maana yoyote, wote tumechoka lakini kidogo tunachopata tunajitahidi kuishi kwa bajeti na malengo.
Na wale Wazee wa nyumba ndogo nawaomba kama unasomesha mwezi huu ziambie zikukalie mbali kabisa umebanwa na familia muonane after January.
Ni hayo tu mtaikumbuka thread hii siku si nyingi.......
Mr Rocky nipo bro...sema mambo mengi ndio maana tunapishana!
Usisahau bwana kumalizia ada za wanetu...maana nyie wazee wa arachuga 'kwenu kila siku sherehe'
Nikipata NAULI ntakuja one time kuwasalimia pande hizo za Ar JF wing......