Kwa kawaida binadamu wote tumeumbwa kwenye hii hali, ya kukumbuka vitu na kuvisahau.
Huu uchaguzi wa mwaka huu utanichukua muda mrefu sana kuusahau. Inauma lakini hakuna namna.
Hii inanikumbusha mwaka 1993, wakongwe na mashabiki wa mpira wanaweza kukumbuka ni fainali ya mpira wa miguu kati ya Simba na Stella Abijani ya Ivory Cost.
Du hatukuamini kilichotokea na mpaka leo huwa siamini nini kilitokea ilikuwa huzuni na aibu ya aina yake.