Gombolo inatibu niniPole mpambanaji!!!!!
Ugonjwa ukiingia kwa kuku huwa unabakisha mmoja tu wa kuja kuwasimulia wengine utakaowaleta.
Jitahidi kuwa na rekodi ya tarehe unayowachanja na ile utakayowachanja tena.
Chanjo muhimu ziko tatu, kideri, ndui na gombolo.
Zingine xipo pia usisahau antibiotics utakazoshauriea na wataalamu wa mifugo.
Usikate tamaa
There's no easy task
Mdondo.Gombolo inatibu nini
Na Newcastle inatibu au kuzuia ugonjwa ganiMdondo.
Huo ni mdondoKinyesi ni cha kijani chenyewe....na wanaahusha mabawa
Kideri.Na Newcastle inatibu au kuzuia ugonjwa gani
nimecheka sana hahahhahaha eti anabaki mmoja wa kuwasimulia kizazi kijacho.Pole mpambanaji!!!!!
Ugonjwa ukiingia kwa kuku huwa unabakisha mmoja tu wa kuja kuwasimulia wengine utakaowaleta.
Jitahidi kuwa na rekodi ya tarehe unayowachanja na ile utakayowachanja tena.
Chanjo muhimu ziko tatu, kideri, ndui na gombolo.
Zingine xipo pia usisahau antibiotics utakazoshauriea na wataalamu wa mifugo.
Usikate tamaa
There's no easy task
kwa dalili hizo huo ni ugonjwa wa kideri ambao kuku wakiwa na vimelea vya hao virus kupona ni nadra sana.hivyo jaribu kuwapa pilipili kichaa huwa inasaidia,na kama hawakupewa chanjo basi huenda wakabaki waliochanjwa pekee.Kinyesi ni cha kijani chenyewe....na wanaahusha mabawa