sky walker
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 1,160
- 834
sio mtumwa mkuu wewe unaweza kuwa zaidi ya boss wako kwasababu una uzoefu wa kutoshaKuku wa broiler hata ununue chakula cha bei juu kama hawajafa sanaa lazmaa upate faida ninaozoefu wa kufuga broiler 1000(sio wangu ni mtaalum na mwangaliz) huyu bosi huwa anapata faida sio chin ya 1milion kwa Kuku hao 1000 afuu mm ananipa laki 2 kwa mwez .kiufup inalipa sanaa sahv nahasira nijikusanye nipate mtaji niachane naye nifuge wangu sabb nishaona fursa ilaa mtaji tyuu unasumbua ndo maana nimekubal kuwa mtumwaa
mkuu mbona muongo hivyooSiku nyingine uongee vzr na wazoefu wa huo ufugaji wenzio wanawapa ARVs wiki mbili tu unauza
Hongera kwa kufanya shughuli hii I miaka 8. Vip? Changamoto ya wale wateja wakija kununua kuku, Maana usipokuwa makini wanakuibiaUmeleta malalamiko au ushauri?
Watu hizo ndo kazi zetu tuna zaidi ya miaka8 sasa ndani ya kazi wewe miezi6 tu lakini pole mkuu jipange kwa sababu umezijua changamoto zake basi upo karibu na mafanikio
Ndio Maana aliuza ni mfugaji au dalala. Maana hii biashara kalibia faida kubwa ya mfugaji uliwa na watu wa kati wa sokoniMkuu mimi nafikiri ungemsaidia kwa kumpa mawazo mbadala. Kwa ulichoandika hujamsaidia.
Kiongozi kuna kitu unafukua? Kwa sababu huu uzi ni wazamani.Ndio Maana aliuza ni mfugaji au dalala. Maana hii biashara kalibia faida kubwa ya mfugaji uliwa na watu wa kati wa sokoni
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]haha ukileta utani unapiga ndefu wewe na kuku au ule chakula cha kuku, chezea week ya tatu wewe
Iyo million 1. Ukitoa matumizi yote faida ni kama laki 3 au 2Kuku wa nyama wanafaida kama ukifuga wengi. Mimi ninafuga hawa kuku. Nilianza na kuku 200 kwa mara ya kwanza. Ninawalisha chakula toka kampuni ya Hill. Hawa jamaa chakula chao ni pellets , wana starter,growers na finisher nilitumia mifuko nane. Walipofika wiki ya nne niliuza kuku 100 kwa being ya sh. 5000 na walipofika wiki ya tank niliuza kuku 100 Kwa bei ya sh 5,500 .Nilipata jumla ya sh 1,050,000. Faida ilipatikana kiasi ila kuna mambo kadhaa nilijifunza kama vile kuhakikisha kuku unaowaingiza sokoni wamefikia uzito unaoridhisha, kupunguza ghàrama za uendeshaji kadiri inacyowezekana, kufuga kuanzia kuku 300 nakuendelea, uwe na chakula cha kutosha, at least uwe na batch mbili na kuendelea kwa mwezi mmoja au hizo wiki tano. Mimi huwa nauza kwa hao jamaa wa hapo Mbagala rangi tatu sokoni. Nilicho experience solo ni kubwa has a kuku wakiwa na uzito unaoridhisha.
Unamaanisha kwa mahesabu yako hao kuku 1,000 kwa kila kuku anakuwa amewauza kwa bei ya 1,000/=? Ndiyo bei ya hao broilers sokoni?Iyo million 1. Ukitoa matumizi yote faida ni kama laki 3 au 2