Kuku wa nyama (broilers) pasua kichwa

Sina ushahidi inasemekana tu, huoni wenzio ndo maana hawaachi kufuga na wala hawalalamiki!
No that is inacceptable! Hatuwezi kuwatuhumu tu kwa vile hawaachi kufuga! Loh! Ndiyo maana niliomba mtoa posti angalau kwa uchache anipe breakdown ya investment yake alipopata hasara na alivyojipanga sasa.
 
Biashara ni kupambana na changamoto tatizo lako uliingia kwenye hii biashara huna utaji na usimamizi,usikate tamaa songa mbele
 
Biashara ni kupambana na changamoto tatizo lako uliingia kwenye hii biashara huna utaji na usimamizi,usikate tamaa songa mbele
Hivi naweza kupata watu wanaokopesha Vifaranga au chakula halafu tulipane wakati wa mauzo?
 
Hivi naweza kupata watu wanaokopesha Vifaranga au chakula halafu tulipane wakati wa mauzo?
Thubutuuuuuu.
Nani akupe.hapo kuna kupata na kukosa.
Nakumbuka baba aliwafuga akakosea wakaanza kuumwa ugonjwa wa macho.walianza kufaaaa.utatamani ulie,nje tumefukia kuku kibao.mbwa walifaidi kipindi kile.
 
Mambo vp kaka unaweza ukaja inbox ili tufanye kazi ukawa unakuja nyumbani unawafundisha vijana wangu au unaweza kuwa na vijana wasio na kazi wazoefu nipatie
 
Mkuu kama uko dar naomba unikodishe hayo mabanda.....
 
kuna jamaa kaamua kuachana nao na kuanza kufuga mbuzi.....ha ha ha

Changamoto kubwa kwenye sekta ya mifugo huwa ni feeding.
 
Sijui kama nimekuelewa vizuri, lakini nilianza kwa kifuga Kuku 300 Sh1,200@ nikatumia mifuko 13 ya Chakula @ Sh65,000. Nikauza Sh5,300 @ kuku baada ya mwezi.
Niliongeza 400 kwa miezi kadhaa, 500, 600 na sasa namalizia kuku 700.
wish ninge kuwa na uwezo wa kukutembelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…