Kuku wa kienyeji

Kuku wa kienyeji

Shayla

Senior Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
193
Reaction score
129
Wadau nauza kuku wa kienyeji, bei nzuri. Nachukua order anayehitaji anipm. Ni pure Kienyeji hawajachakachuliwa na sio chotara.
 
ungeweka na bei ili tujipime kama tunaweza kukutafuta au la!
 
Wanaanzia elfu 12000, mpaka 20000. inategemea na ukubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom