Kuku wa kienyeji wanauzwa

Kuku wa kienyeji wanauzwa

Mhdiwani

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
650
Reaction score
712
Habari zenu wapendwa,

Mimi ni mjasiriamal mdogo wa kuuza kuku wa kienyeji mara nyingi nasafirisha kwenda Arusha kutoka Tanga.

Kwahio kama kuna mtu anahitaji anipe oda
 
1. weka mawasiliano
2. taja bei ya kuku kwa apo ulipo, dar, tanga, arusha, dodoma n.k
3. wana uzito gani
4. unauza na manyoya au ushatengeza
5. majogoo au

Ni mtazamo tu.
 
Taja na Rangi zao. Hao Majogoo ni Jina Au Majogoo kazi? Yanawika? Taja na Rangi zao na huwa wanapendelea kula nn? Sio wavivu kutaga lakini?
 
Habari zenu wapendwa,

Mimi ni mjasiriamal mdogo wa kuuza kuku wa kienyeji mara nyingi nasafirisha kwenda Arusha kutoka Tanga.

Kwahio kama kuna mtu anahitaji anipe oda

Uwezi toa order bila kujua bei mkuu, ebu weka bei halafu order zitatiririka, hapa Dar upo wapi (yaani wanakofikia hao kuku husika)?
 
kuku niwarangi tofauti na majogoo wanawika na kuku ni wakienyeji kabisa sio chotara
 
mitetea ni 12000 na majogoo ni kuanzia 15000 na kuendelea inategemea na ukubwa wa kuku
 
Back
Top Bottom