madam koku tuwasiliene uje uwaone kama una uhitaji bei tutapatana kutokana na idadi utakayohitaji ninaanza ufugaji wa kuku wa mayai ninaanza na vifaranga sasa nawaondoa hawa wa kienyeji nipate space na kamtaji ka kuanza na hawa wa wakisasa.Bei ya Jogoo na mitere ni hio hio 14,000? unafanya delivery? au inakuaje