Kuku wa kienyeji pure wanauzwa

Kuku wa kienyeji pure wanauzwa

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,061
Reaction score
1,367
JF habari za majukumu
Jamani nauza kuku wa kienyeji pure kabisa kutoka Dodoma, nauza kwa bei ya elfu 10000/-@1 wapo kuku 20 majike kumi na moja na majogoo tisa, nasikitika sana kwani kuku hawa.

Kuna mwanaJF tulipanga nimtafutie kuku nimewapata halafu bw. mkubwa huyu kazima simu mpaka sasa hapatikani kaniharibia mambo yangu mengi sana. kama unahitaji tuwasiliane 0716863406
 
Ishii kwani uuze bei ndogo hivo nawewe,hiyo bei ni kununua huko vijijini acha unyonge unatuharibia biashara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom