MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,199
- 1,226
Tena wanadai ukimnyemelea usiku ukaupeleka mkono wako ndio hatari zaidi (hasa akikufananisha na nyoka)usemalo ni kweli kabisa lakini mpaka huyo kuku awe ktk hali ya kutofahamu, namaanisha kuwa ikimjia akilini kuwa huyu ni binadamu basi ile sumu inaisha makali na hiki kitendo kinafanyika ndani ya sehemu ya sekunde.
duu, basi km ni hivyo hyo sio sumu. sumu inayoua akihisi ww ni nyoka na haikuui akihisi ww ni binadamu sio sumu.
duu, basi km ni hivyo hyo sio sumu. sumu inayoua akihisi ww ni nyoka na haikuui akihisi ww ni binadamu sio sumu.
kama huamini jaribu kumnyemerea usiku uweke mkono then uta komfemu kama ni propaganda au niajeHata mimi nimejikuta nacheka sumu gani hiyo inayofanya kazi kwa kutofautisha hahaha hizi ni propaganda tu hakuna lolote