Mahitaji kwa ajili ya kuku....
Kuku 1.
Limau.
Curry powder 1/2 teaspoon
Paprika 1/2 teaspoon
Tandoor masala 1/2 teaspoon
Tangawizi 1/2 teaspoon
Bizari ya pilai 1/2 teaspoon
Kitunguu saumu 1/2 teaspoon
Chumvi kiasi..
Pilipili ya kuwasha na pilipili manga 1/4 kila moja
Tomato ketchup 3 tablespoon...
Namna ya kutaarisha kuku...
Katakata kuku vipande vipande
Weka viungo vyote bila kusahau chumvi na limao..
Wacha vikolee vizuri walau lisaa 1 au usiku mmoja ila hifadhi katika friji...
Weka katika oven moto mdogo mdogo ili wawive vizuri...
Toa wakiwa tayar wamewiva na kuwa brown...
Nyongeza tu....
Kabla ya kupaka hivyo viungo vingine kwenye kuku, vipake kwanza na mafuta ya extra virgin olive oil halafu ndo upake hivyo vingine.
Huwa yanakoleza vizuri sana ladha.
Mahitaji kwa ajili ya kuku....
Kuku 1.
Limau.
Curry powder 1/2 teaspoon
Paprika 1/2 teaspoon
Tandoor masala 1/2 teaspoon
Tangawizi 1/2 teaspoon
Bizari ya pilai 1/2 teaspoon
Kitunguu saumu 1/2 teaspoon
Chumvi kiasi..
Pilipili ya kuwasha na pilipili manga 1/4 kila moja
Tomato ketchup 3 tablespoon...
Namna ya kutaarisha kuku...
Katakata kuku vipande vipande
Weka viungo vyote bila kusahau chumvi na limao..
Wacha vikolee vizuri walau lisaa 1 au usiku mmoja ila hifadhi katika friji...
Weka katika oven moto mdogo mdogo ili wawive vizuri...
Toa wakiwa tayar wamewiva na kuwa brown...
Namna ya kutaarisha viazi...
Katakata viazi vyako kama vya chipsi ila viwe vinene zaidi...
Chemsa kwa dakika 5 mpaka 7....
Chuja maji mwaga na weka viazi katika tray weka chumvi kiasi na miminia mafuta juu kiasi...ukipenda weka spices upendazo...
Bake moto kiasi...
Toa weka mezani...
Ukipenda waweza katia na saladi
Sijui ntafanyaje nivipate kwa mchana wa leo
Udenda umenitoka mana nimeisoma asubuhi still on bed na njaa inauma..lol
Sijui ntafanyaje nivipate kwa mchana wa leo
Jaan thank u, hizi ndo zenyewe kwa weekend. ...tupumzike ubwabwa...
Asante sana mamii
Hii ntaindaa siku ya kuzaliwa ya mtu....
Rahisi na haraka
Be blessed