Kuku matetea wa kienyeji wanahitajika

bepari la kichaga

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
526
514
Igweeeeee
Mfugaji aliyeko Dodoma na anauza kuku wa kienyeji, nahitaji matete 4 na jogoo moko, kwa ajili ya kufuga mbegu iwe nzuri.
Mdondo umenisafishia banda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom