Kuku katotoa vifaranga 24, nifanye nini ili vyote vikue?

Njoo nikuuzie dawa ya Asili inaitwa Dawa ya Magome kinga dhidi ya maginjwa Nyemelezi na itasaidia kuku wako wakue hali ya kuwa na Afya
 
Wadau nilikuwa na wazo pia la kununua kuku wa kienyeji mitetea 15, halafu majogoo mbegu zile kubwa ma3 halafu nifuge kisasa kiainaa kwa kuwapa chakula kizur kiasi, je naweza fanikuwa? (Natak nimpe Mdogo wangu hi kazi ya kusimamia apate Kaz ya kufanya)
 
jogoo mmoja anatosha kuhudumia mitetea kumi! kwahiyo hao mitetea 15, tafuta jogoo moja tu linawatosha. ila isiwe jogoo la dar.
 
Njoo nikuuzie dawa ya Asili inaitwa Dawa ya Magome kinga dhidi ya maginjwa Nyemelezi na itasaidia kuku wako wakue hali ya kuwa na Afya
wewe mwehu kweli!

niko Kongo DRC, utaniuzia vipi?

wewe sema hapa umechanganya nini na nini mpaka Dawa yako ikakamilika?

Mambo ya kuuziana peleka Chato.
na kama ningetaka ya kununua ningeenda mjini kununua.
 
Mkuu sio ugomvi magome huko Congo Hamna huwa yanapatikana Tabora Tz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom